Entertainment

Jackie Chan athibitisha ujio wa filamu ya Rush Hour 4

Jackie Chan athibitisha ujio wa filamu ya Rush Hour 4
Profile photo of sadock

Jackie Chan athibitisha ujio wa filamu ya Rush Hour Part 4, itaanza kutengenezwa Mwaka 2018

 Rush Hour 4 inakuja na itaanza kurekodiwa mwaka 2018, ila Jambo kubwa kuhusu Rush Hour 4 ni kuwa itaweza kufanyika tu kama mwigizaji kutoka Marekani Chris Tucker atakubali kufanya filamu” Jackie Chan alifunguka kwenye mahojiano na kipindi cha #TheCruzShow kupitia Radio ya Power 106 FM

Kwa sasa staa huyu anatangaza filamu ya #FOREIGNER.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017