Entertainment

JACKLINE WOLPER APANIA KUZAMA KWENYE FASHION!

JACKLINE WOLPER APANIA KUZAMA KWENYE FASHION!
Profile photo of sadock

Jackline-Wolper2

Mwigizaji wa filamu hapa nchini maarufu kwa jina la Jacline Wolper ambaye alikuwa X wake na G.Model, owner wa’ Models Collection. Wolper anategemea kuingia mazima kwenye Tasnia ya mitindo ikiwa amesema kuwa ni moja kati ya ndoto zake.

Akihojiwa na mwandishi wetu live Wolper alifunguka na kuelezea mchakato huo.

“Kuna vitu vingi ambavyo nategemea kuvifanya, now vipo kwenye process so sitoweza kuvisema kwa sasa lakini kikubwa zaidi mashabiki watambue kuwa naelekea kufanya Fashion za kiafrica serious” Amesema Wolper

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017