Entertainment

Kampuni ya Apple wazindua simu mpya za iPhone 8 na iPhone X

Kampuni ya Apple wazindua simu mpya za iPhone 8 na iPhone X
Profile photo of sadock

Kampuni ya vifaa vya umeme ya Apple imesherekea miaka kumi ya kuwepo kwa bidhaa zao, na wameweza kuzindua simu za iPhone 8, iPhone 8 Plus pamoja na iPhone X.

iphone-x-uk-release-date-uk-price-specs-features-design-4

Kwa upande wa iPhone X ambayo inatamkwa kama iPhone 10 hii inakadiriwa kuuzwa kuanzia kiasi cha dola 999, na zitaanza kuuzwa rasmi mwezi Novemba 3 mwaka huu ila unaweza kufanya manunuzi ya wali  kuanzia Oktoba 27.

DJlN0wlXcAACe51

iPhone X itapatikana kwa rangi ya gray na silver pia itakuwa na kioo kipya kijulikanacho kama Apple calls a Super Retina chenye ukubwa wa inchi 5.8- na saizi ya 2,436-by-1,135. Hii ndio simu ya kwanza ya kutoka  ya iphone pekee kutokuwa na kitufe cha nyumbani na unaweza kufungua kwa kuitazama.

9132017124355AM_635_iphonex_front_back_glass

Kwa upande wa kamera iphone X ipo vizuri kama iPhone 8 Plus yenye kamera mbili na ila megapixel 12 nyuma na kwa mbele ila megapixel 7.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017