Entertainment

Kanye west aongoza orodha ya watu 30 wenye ushawishi zaidi kwenye Mitandao

Kanye west aongoza orodha ya watu 30 wenye ushawishi zaidi kwenye Mitandao
Profile photo of sadock

Rapper, Mwanamitindo na mjasiriamali Kanye west ameongoza orodha ya watu 30 wenye ushawishi zaidi kwenye mitandao ya jarida la Time Mgazine “30 Most Influential people on Internet”

 Kim-Kardashian-Kanye-West-and-North-West-on-Easter-2015

Tweets zake, video zake akikimbizana na paparazi, mitindo yake nguo kunamfanya asikauke midomoni mwa watu na hata kwenye vichwa vya habari, Ni ukweli usiopingika kuwa Kanye West anaushawishi kwenye mitandao.

Watu wengine walioingia kwenye orodha hiyo ni pamoja na Mke wake, Kim Kardashian West, Dj Khaled, Donald Trump, Caitlyn Jenner na wengine.

Ingia Hapa kuona orodha kamili.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017