Entertainment

Kendrick Lamar akava jarida la Forbes ’30 under 30′

Kendrick Lamar akava jarida la Forbes ’30 under 30′
Profile photo of sadock

Kendrick Lamar amekava jarida la Forbes toleo jipya la ’30 under 30′ huku akiongelea biashara na muziki wake wa HipHop.

Kwa upande wa Lamar ambaye amekava jarida hili linalotarajiwa kutoka mwaka 2018 amezungumzia ni jinsi gani muziki huo umeweza kumuingizia mtonyo, huku mwanadada Cardi B yeye akiweka bayana juu ya ngoma yake ya ‘Bodak Yellow’ ilivyoweza kuweka historia katika chati za Billboard Hot 100.

kendrick-forbes

Jarida hilo pia limeweka mastaa wengine wanaofanya poa katika muziki ambao ni:

Lil Uzi Vert (23)
SZA (28)
Young M.A. (25)
Travis Scott (26)
Young Thug (26)
Migos (Takeoff – 23, Offset – 26, and Quavo – 26)
H.E.R. (20)
Khalid (19)
Mike Posner (29)
Bebe Rexha (28)
producer WondaGurl (21)
Beyoncé choreographer JaQuel Knight (28) na wengineo.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017