Hot Below Trending

Kenya watangaza rasmi tarehe mpya ya kurudia uchaguzi

Kenya watangaza rasmi tarehe mpya ya kurudia uchaguzi
Profile photo of sadock

Baada ya Mahakama ya juu kufuta matokeo ya uchaguzi nchini Kenya, hatimae Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini humo (IEBC), imetangaza tarehe mpya ya kurudia uchaguzi huo. uchaguzi mpya wa urais nchini humo utafanyika tarehe 17 Oktoba mwaka huu.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Wafula Chebukati amesema uchaguzi huo utarudiwa tarehe 17 Oktoba mwaka huu na utashirikisha wagombea wawili pekee wa urais, ambao ni Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee na waziri mkuu wa zamani Raila Odinga kupitia tiketi ya umoja wa vyama vya upinzani (NASA)

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017