Entertainment

Kevin Hart na mke wake watangaza jina la mtoto wao

Kevin Hart na mke wake watangaza jina la mtoto wao
Profile photo of sadock

Mwigizaji Kevin Hart na mke wake Eniko Parrish wametoa jina la mtoto wao wa kiume kabla hajazaliwa.

Kenye party ndogo katika beach ya Calamigos huko Malibu Kevin na familia yake wamefanya Baby Shower na kutoa jina la mtoto wao.

kenzo1

Mtoto wao wa kiume ataitwa Kenzo,

Ata baada ya tabasamu zote bado Kevin Hart anazungukwa na skendo kubwa ya kumsaliti mke wake na mwanamke aliyerekodi tendo hilo na sasa anadai pesa.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017