Entertainment

Kisa zari, Hamisa mobetto na Vera sidika wavimbiana kwenye mitandao

Kisa zari, Hamisa mobetto na Vera sidika wavimbiana kwenye mitandao
Profile photo of sadock

Hamisa Mobetto na socialite maarufu wa Kenya, Vera sidika wameingia kwenye mgogoro mkubwa hadi kurushiana maneno kwenye mitandao kisa video ya snapchat.

Hamisa ambaye bado yupo nchini Kenya, alitumia mtandao wa Snapchat kujirekodi video akiwa na rafiki kipenzi wa Zari The Boss Lady, baada ya video hiyo kusambaa na kuzua minong’ono ikiwemo maswali ya kwani Vera amegombana na Zari? Hii ni kutokana kuwa binti huyo amekuwa akituhumiwa kutaka kiharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya Diamond na Zari.

Kutokana na hali hivyo Vera ameibuka na kuanza kutoa utetezi wake kwa madai kuwa, mrembo wa Tanzania alirekodi video pasipo yeye kujua na wala hakupanga kukutana naye kama inavyo daiwa.

Snapchat za Vera Sidika:

Inst-image-4

Inst-image-3

 

Vera akaongeza kwanza hamjui Hamisa ila alipokea ujumbe kutoka kwa binti huyo akimuomba wakutana kwani anampenda, kufuatia utetezi huo wa Vera, Hamisa amedai kuwa mtembo huyo wa Kenya ni muongo kwani alikuwa akijia kama anarekodiwa na wala hakumtafuta kuonana naye.

Snapchat za Hamisa Mobetto:

Inst-image-2 Inst-image-1 Inst-image

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017