Business

List ya mastaa wa soka barani Ulaya kuja Tanzania yazidi kuongezeka

List ya mastaa wa soka barani Ulaya kuja Tanzania yazidi kuongezeka
Profile photo of sancho song

baada ya wiki kadhaa nyuma kuja kwa David Beckham na familia yake, wiki moja baadae akatua staa wa Liverpool Mamadou Sakho kutalii katika hifadhi ya Ngorongoro.

Baada ya mastaa hao kuja Tanzania taarifa ikufikie kuwa kuna staa wa Tottenham Hotspurs amewasili Tanzania kwa ajili ya utalii, kiungo wa timu ya taifa ya Denmark anayeichezea Totteham Hotspurs ya England  Christian Dannemann Eriksen ametua Tanzania.

star

Chris Eriksen amekuwa tofauti kidogo kama ilivyokuwa kwa Mamadou Sakho ambaye alikuwa haoni tatizo kupost na kuonesha kuwa yupo Tanzania, Eriksen amekuwa akipost picha bila kutaja mahali alipo ila kimuonekano yupo Ngorongoro Crater Tanzania.

Comments

comments

Business

More in Business

t4

#TecnoDude Ya Washa dude kitaani

sancho songJuly 10, 2017
tecno1

TECNO YAAMSHA DUDE KWA BEI CHEE

sancho songJuly 6, 2017
t

Tecno Dude Mkombozi Wa Watanzani.

sancho songJuly 4, 2017
g

Hili ndilo gari la kifahali na gharama zaidi Duniani kwa mwaka 2017, Linauzwa Tsh 29b

sancho songJune 16, 2017