Hot Below Trending

Matokeo ya UEFA jumanne hii: Barcelona yashinda kufurukuta mbele ya PSG

Matokeo ya UEFA jumanne hii: Barcelona yashinda kufurukuta mbele ya PSG
Profile photo of sadock

aya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa wa Ulaya Uefa zilizo chezwa Jumanne, 14 Februari 2017, ikiwa ni raundi ya mtoano ya timu 16 kwa mechi za kwanza.

From-L-Paris-Saint-Germains-French-mi

Matokeo haya hapa chini ya mechi za Jumanne, 14 Februari 2017

Benfica 1 Borussia Dortmund 0
Paris Saint Germain 4 Barcelona 0

Leo Jumatano, 15 Februari 2017 inaendelea kwa gemu mbili
Bayern Munich v Arsenal
Real Madrid v Napoli

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

fu

Trump afuta sheria ya Obama kuhusu walioamua kuegemea jinsia tofauti msalani

sadockFebruary 23, 2017
Mimi Mars

Mimi Mars asema haikuwa rahisi kupata shavu la kusaini kwenye label ya dada yake ‘Mdee Music’

sadockFebruary 22, 2017
MALIA

Video: Obama atoa Hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani

sadockJanuary 11, 2017
donald-trump

Trump amteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu Marekani

sadockJanuary 10, 2017