Entertainment

Mauzo ya ticket za show za R.Kelly yapungua baada ya skendo ya kuwanyanyasa wanawake kingono

Mauzo ya ticket za show za R.Kelly yapungua baada ya skendo ya kuwanyanyasa wanawake kingono
Profile photo of sadock

Baada ya kutuhumiwa kuwanyanyasa kingono wanawake kadha kwenye jumba lake flani la kifahari, show za ziara ya muziki ya R Kelly ‘After Party’ zimeanza kupungua.

Show nne katika show 10 kwenye maeneo tofauti zimefutwa, show ya Louisiana, Dallas na show ya mjini Los Angeles zimefutwa kutokana na manunuzi madogo ya tickets

Hata hivyo R Kelly alikana madai kwamba anawazuia wanawake kadhaa katika dhehebu lake analotumia kuwanyanyasa.

Kelly tayari amewahi kukabiliwa na tuhuma za dhulma za kingono lakini hakupatikana na hatia.

Amekana kufanya makosa yoyote.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017