Hot Below Trending

Maxence Melo, mwanzilishi wa Jamii Forums aachiwa kwa dhamana

Maxence Melo, mwanzilishi wa Jamii Forums aachiwa kwa dhamana
Profile photo of sadock

Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo Jumatatu hii, ameachiwa huru na Hakimu Godfrey Mwambapa wa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, Dar es Salaam, baada ya kukamilisha masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili.

Wadhamini hao kila mmoja amesaini dhamana ya maneno ya shilingi milioni 5. Max ambaye ni mwanzilishi wa mtandao huo ameshikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki iliyopita akishtakiwa kwa makosa matatu.

Miongoni mwa makosa hayo ni kuendesha na kumiliki tovuti ambayo haijasajiliwa na kuzuia uchunguzi wa polisi kwa mujibu wa Sheria ya Makosa Kimtandao.

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

MALIA

Video: Obama atoa Hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani

sadockJanuary 11, 2017
donald-trump

Trump amteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu Marekani

sadockJanuary 10, 2017
Thuli+Madonsela

Thuli Madonsela aibeba tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’ aliyokuwa anawania Rais Magufuli

sadockNovember 18, 2016
wpid-wp-1477294474334.png

Watanzania washindwa kung’ara tuzo za MAMA 2016, Tazama orodha kamili ya washindi

sadockOctober 24, 2016