Lifestyle

Mazishi na muziki -Ghana

Mazishi na muziki -Ghana
Profile photo of sancho song

Imeripotiwa na BBC News kuwa Ghana kuna vikundi maalum kwa ajili ya kubeba jeneza yaani mfiwa unakodi watu hao ambao watabeba jeneza kwa shamrashamra na mbwebwe siku ya mazishi kama sehemu ya kusherehekea siku ya mwisho ya marehemu hapa duniani.

Wazo la vikundi vya kukodiwa kwa ajili ya mazishi nchini Ghana unaambiwa limefanikiwa kutoa ajira kwa wanawake na wanaume zaidi ya ajira 100, unaweza tazama video fupi na kuniachia comment yako vipi hii ikija Tanzania inafaa?

Comments

comments

Lifestyle

More in Lifestyle

170111_WAR_tillerson.jpg.CROP.promo-xlarge2

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

sadockAugust 2, 2017
kibi

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

sancho songJuly 31, 2017
zzzzzzzz

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68 ya Diamond kwa Zari

sancho songJuly 29, 2017
maj

Waziri Mkuu awahasa wakulima wasiuze mazao yao ovyo

sancho songJuly 21, 2017