Lifestyle

Messi anaweza asifungwe jela kama atalipa tsh 637.8

Messi anaweza asifungwe jela kama atalipa tsh 637.8
Profile photo of sancho song

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi anaweza akakutana na adhabu ya kifungo cha miezi 21 jela yeye pamoja na baba yake mzazi Jorge Messi kwa kosa la ukwepaji kodi Hispania katika kipindi kati ya mwaka 2007 hadi 2009.

Lionel Messi na baba yake wanatajwa watahukumiwa kifungo kwa kosa la  kukwepa kodi, Messi sio staa wa kwanza wa FC Barcelona kuingia katika kashfa ya ukwepaji kodi, aliwahi kuhukumiwa beki wa timu hiyo Javier Mascherano mwaka mmoja jela January 21 2016 lakini alinusurika  kwenda jela kwa kulipa faini.

Hivyo kwa kosa la Lionel Messi kudaiwa kuhukumiwa kifungo cha miezi 21 jela anaweza kukikwepa kwa kulipa faini ya dola 285,000 ambazo ni zaidi ya Tsh Milioni 637.8, Sheria ya Hispania mtu akihukumiwa kifungo cha chini ya miaka miwili ana nafasi ya kuomba adhabu yake ibadilike kutoka kifungo kuwa faini, kama tu kosa lake likiwa sio la jinai.

Comments

comments

Lifestyle

More in Lifestyle

170111_WAR_tillerson.jpg.CROP.promo-xlarge2

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

sadockAugust 2, 2017
kibi

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

sancho songJuly 31, 2017
zzzzzzzz

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68 ya Diamond kwa Zari

sancho songJuly 29, 2017
mazi

Mazishi na muziki -Ghana

sancho songJuly 27, 2017