Lifestyle

Mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji TAIFA aelezea kuhusu tuhuma dhidi ya Bw Tuesday Kiangala

Mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji TAIFA aelezea kuhusu tuhuma dhidi ya Bw Tuesday Kiangala
Profile photo of sancho song

Mapema leo kulitokea malalamiko kupitia group ya wasanii waigizaji wa Tanzania hasa upande wa wanawake walikuwa wanawasiliana wenyewe kwa wenyewe kutokana na mmoja wa wasanii kutoka Korogwe Tanga akilalamika kwa moja ya msanii anaye mfahamu kuwa huko walipo wapo wanafanya kazi ya Tuesday Kiangala ila wanapata taabu sana kwasababu Tuesday aliwataka kimapenzi yeye na pacha wake sasa wao wamekataa kutimiza hayo kwa huyo boss wao ambaye ndio Tuesday

   map

Ndipo mateso yakaanza, kama kuto kupewa chakula na manyanyaso mengine kusema hiyo walikuwa wanamaanisha wapewe msaada hata wa nauli tu watoke huko walipo warudi Dar hapo ndipo lilipotokea suala la wasanii wengine hasa wa kike kuanza kulivalia njuga suali hilo na kudai huyu jamaa ni tabia yake hii ndipo walipoamua kuwasiliana na Bi Ldya Mgaya ambaye ni mjumbe wa bodi TAIFA (TDFAA) na kuandika taarifa kwa Rais wa shirikisho la Filamu TANZANIA  Bw:Mwakifamba sasa hapa tunae
mjumbe wa bodi wa chama cha waigizaji TAIFA akiongelea kuhusu tuhuma hizo dhidi ya Bw Tuesday Kiangala na nini kinaendelea mpaka sasa hivi baada ya kupokea tuhuma hizo

Comments

comments

Lifestyle

More in Lifestyle

170111_WAR_tillerson.jpg.CROP.promo-xlarge2

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

sadockAugust 2, 2017
kibi

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

sancho songJuly 31, 2017
zzzzzzzz

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68 ya Diamond kwa Zari

sancho songJuly 29, 2017
mazi

Mazishi na muziki -Ghana

sancho songJuly 27, 2017