Entertainment

Mr Nice kwenye video mpya ya Harmonize ‘Sina’, Itazame hapa

Mr Nice kwenye video mpya ya Harmonize ‘Sina’, Itazame hapa
Profile photo of sadock

Harmonize kutoka label ya muziki ya WCB ameachia video na ngoma mpya aliyoipa jina la ‘Sina’. Kwenye video amemtumia msanii mkongwe wa zamani, Mr Nice.

Video hii imeendana na alivyomtua mkali huyo wa Takeu hasa kutokana na ujumbe wa wimbo huo kuendana na story zilizokuwa zikipigwa kuhusu Mr,Nice. Video imeongozwa na Joowzey.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017