Entertainment

Mrembo wa Namibia,Dillish Mathews na yeye kwenye tetesi za ujauzito, Diamond ahusishwa tena

Mrembo wa Namibia,Dillish Mathews na yeye kwenye tetesi za ujauzito, Diamond ahusishwa tena
Profile photo of sadock

Mshindi wa shindano la Big Brother Afrika mwaka 2013 kutoka nchini Namibia, Dillish Mathews huenda akawa ni mjamzito. Hii ni kutokana na picha aliyoweka Instagram jioni hii ikimuonesha akiwa ameshika tumbo lake na kuandika, “A baby or a burger?”

Picha hiyo imesababisha mjadala mkubwa kwa mashabiki wa Tanzania na sehemu zingine Afrika wanaolitaja jina la Diamond Platnumz kwenye comments kuwa kama kweli mrembo huyo ni mjamzito basi ni ya Chibudenga.

DILLSH

Hii ni kwasababu wiki tatu zilizopita, kulikuwepo na tetesi kuwa wawili hao walionekana pamoja Zanzibar na kwamba ni wapenzi. Diamond alikanusha tetesi hizo Jumanne iliyopita kwenye mahojiano na Clouds FM.

Shabiki mmoja ameandika: @zarithebosslady @diamondplatnumz theres number 2 outchea 😂.”

Mwingine ameandika: Diamond platinumz is the man going around the Africa giving women his babies 👶 congrats.”

“😂😂😂😂😂😂Yan km ni mimba naomba iwe ya chibude haki bibi tukinao atakufa…alafu ufanye uje madale sawa…km hujui kiswahili naomba tuu ujifunze😅😅😅😅,” ameandika mwingine.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017