Entertainment

Msanii wa Nigeria, Runtown amshirikisha Dj Khaled kwenye Album yake mpya

Msanii wa Nigeria, Runtown amshirikisha Dj Khaled kwenye Album yake mpya
Profile photo of sadock

Msanii wa Nigeria, Runtown amemshirikisha Producer, mtangazaji na Dj maarufu zaidi Marekani,  Khaled Mohamed Khaled aka Dj Khaled kwenye moja ya nyimbo zilizopo kwenye album yake mpya.

 

Runtown ameachia orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album yake mpya ‘Getho University’ inayotoka baada ya wiki mbili [Nov. 23] ambayo amewashirikisha Wizkid, Davido, Uhuru, Dj maphosira, MI, Anatii, Hafeez na Dj khaled.

Hii ndio orodha kamili ya nyimbo zilizopo kwenye Album hiyo,

Money Bag ft. DJ Khaled
Let me love You
Gallardo ft. Davido
The Banger ft. Uhuru
Kilofoshi
Talk for me
Ima  Ndi Anyi Bu ft. Phyno
Omalicha Nwa
Tuwo Shinkafa ft. Barbapappa
Ghetto University
Bend Down Pause ft. Wizkid
Walahi
Lagos to Kampala ft. Wizkid
My Guyz ft. Anatii
Sarki Zaki ft. M.I X Hafeez
Tuwo Shinkafa (Moroccan Version)
Na So the Story Go

Runtow alikuepo nchini mwezi uliopita na amethibitisha kufanya kazi na msanii kutoka TMK, Chege chigunda.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017