Music

Mtoto wa 50 Cent, Marquise Jackson amchana Baba yake kwenye ngoma yake ya kwanza

Mtoto wa 50 Cent, Marquise Jackson amchana Baba yake kwenye ngoma yake ya kwanza
Profile photo of sadock

Mtoto wa kwanza wa rapper 50 Cent, Marquise Jackson ameachia ngoma yake ya, Different.

Ameiambia tovuti ya Rap Up kuwa huo ndio wimbo wake wa kwanza kuwahi kufanya. Kwenye wimbo huo, dogo huyo anazungumzia pia uhusiano mbovu na baba yake. “Lost my pops, he’s still alive,” anarap Jackson.

Jackson kwenye miaka 20, anatarajia kuachia mixtape yake ya kwanza mwaka huu.

Comments

comments

Music

More in Music

justine-skye-back-for-more

New Music: Justine Skye Ft. Jeremih – Back for More

sadockJuly 21, 2017
cou

New Video: Country Boy ft Mwana FA – Turn Up ( Official Music Video )

sadockJuly 19, 2017
wizkid-sftos (1)

Sikiliza Album mpya ya Wizkid – Sounds from the other side

sadockJuly 14, 2017
Screen Shot 2017-07-07 at 4.44.46 PM

New Video: JAY-Z – 4:44

sadockJuly 14, 2017