Lifestyle

Mungu atenda muujiza wake kwa Millen Magese na apata mtoto

Mungu atenda muujiza wake kwa Millen Magese na apata mtoto
Profile photo of sancho song

Kuna kipindi alikata tamaa mpaka akajiandaa kuondoa kizazi na hapo ni baada ya kufanyiwa  oparesheni zisizopungua 13 ambapo pamoja na hayo, aliambiwa moja ya tiba ya tatizo hilo liitwalo ‘Endometriosis’ kwa kizungu, ni kuzaa.

Baada ya mateso yote usiku na mchana pamoja na kutumia gharama kubwa kwenye matibabu South Africa na Marekani, leo hii Millen anayofuraha kuitangaza habari njema kuwa amefanikiwa kupata mtoto wa kiume July 13 2017 Hospitalini New York Marekani na anaitwa Prince Kairo Michael Magese.

Comments

comments

Lifestyle

More in Lifestyle

170111_WAR_tillerson.jpg.CROP.promo-xlarge2

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

sadockAugust 2, 2017
kibi

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

sancho songJuly 31, 2017
zzzzzzzz

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68 ya Diamond kwa Zari

sancho songJuly 29, 2017
mazi

Mazishi na muziki -Ghana

sancho songJuly 27, 2017