Entertainment

Nas na Nicki Minaj ndio wamethibitisha kuwa ni wapenzi??

Nas na Nicki Minaj ndio wamethibitisha kuwa ni wapenzi??
Profile photo of sadock

Kumekuwa na tetesi juu ya mahusiano yaliyopo kati ya rapper mkongwe Nas na mwanadada Nick Minaj.

Kwenye sherehe ya birthday ya rapper huyo, walionekana kuwa karibu sana, hii ilikuwa ni kama jibu la tetesi za wawili hao kuwa ni wapenzi.

Mwezi Mei mwaka huu wawili hao waliwahi kuwa katika mgahawa wa Sweet chick mjini NYC, na mikao yao ikaanza kuleta utata, mrembo huyo kutoka Young Money hajawahi kuficha upendo wake kwa Nas, na hata kufikia hatua ya kumshirikisha kwenye video yake ya ‘Right By My Side’ wimbo ambao unawaonyesha wawili hao wakiwa na hisia kali sana.

Kabla ya kuonyesha ukaribu aliyonao kwa Nas, mrembo huyo aliwahi kuwa na mahusiano  ya kimapenzi na rappper Meek Mill ambao wameachana toka mwezi wa kwanza mwaka huu.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017