Entertainment

Ndoa ya John Legend na Chrissy Teigen imeingia doa, inadaiwa kutaka kuvunjika

Ndoa ya John Legend na Chrissy Teigen imeingia doa, inadaiwa kutaka kuvunjika
Profile photo of sadock

Ndoa ya mwimbaji wa RnB John Legend na mke wake Chrissy Teigen imeingia dosali na labda inawezekana ikiashindwa kudumu hadi mwisho wa mwaka huu,  mbali ya kuonekana kama Picture perfect couple kuna matatizo mengi ndani ya ndoa hiyo ambayo wengi hatuyajui.

Kwa mujibu wa mtandao wa ‘Mediatakeout’ chanzo cha karibu na wanandoa hao kimedai kuwa John Legend ndio ana matatizo zaidi , amekua na hasira na dharau kwa mke wake bila ya sababu.

Chanzo icho kimedai kuwa ndoa hiyo inawezavunjika muda wowote kwani hatahivyo ameshangaa ilikuaje hata ikadumu hadi mwisho wa mwaka jana.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017