Entertainment

New Audio: Neyo arudia ngoma ya ‘Humble’ ya Kendrick Lamar

New Audio: Neyo arudia ngoma ya ‘Humble’ ya Kendrick Lamar
Profile photo of sadock

Mkali wa R&B wa Marekani, Neyo ameonesha upande wake wa pili wa kurap kwenye remix ya ngoma ya Kendrick Lamar ‘Humble’

“I remember wishing I could sit at the Grammys with Jay and Bey, and Rihanna and Chris / Be part of the clique,” Neyo anachana. “Second guess myself and all my shit like, ‘Do I really fit?’ / Three Grammys later, I guess I must be pretty good at this.”

Hii inakuwa ngoma mpya ya staa huyo baada ya ile aliyoshilikwa na Diamond Platnumz.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017