Entertainment

New Video: Jux – Utaniua (Official Music Video)

New Video: Jux – Utaniua (Official Music Video)
Profile photo of sadock

Mkali wa RnB Bongo, Juma Jux amerudi tena na video ya ngoma yake mpya ‘Utaniua’ iliyoongozwa na Hanscana na audio imeandaliwa na producer Bob Maneck wa A.M Records.

Hii ni ngoma ya kwanza ameiachia tangu alipomaliza elimu yake ya chuo kikuu, Hii Track inaelezea mfalakano uliotokea kati ya wapenzi licha ya mapenzi ya dhati waliyokuwa nayo awali. Kuna mstari anasema,

“Nilijichanga Changa ili mladi Upendeze, Nikajibana bana mi nisijikweze Sikutaka kugombana mi Nikupoteze Baby!!…..”

Pia kwasasa Jux yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake ya kwanza.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017