Entertainment

Nyandu Tozi awadiss Weusi, asema hawana mafanikio kama wanavyojidai

Nyandu Tozi awadiss Weusi, asema hawana mafanikio kama wanavyojidai
Profile photo of sadock

Nyandu Tozi, Msanii wa muziki wa hip hop kutoka B.O.B Micharazo ametoa povu lake kwa wasanii wa kundi la Weusi kuwa hawana mafanikio kwasababu bado wanaishi kwenye nyumba za kupanga.

“Ukiniambia Weusi wana maendeleo kuliko B.O.B unanishangaza wakati wao wamepanga, B.O.B kila mtu anaishi katika ‘empire’ zao,” Nyandu alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV

“B.O.B Micharazo ni ukoo kwa hivyo unavyoona B.O.B wapo kimya katika muziki utakuta labda sasa hivi wapo ‘busy’ mambo mengine kwa sababu watu wana majukumu yao binafsi siyo kwamba tutegemee muziki tu ‘a hundred percent no’ lazima ujishughulishe na uwe na biashara au uwe na maduka ni vitu ambavyo ‘movement’ vijana wengi wasasa wameamka hakuna kijana ambaye amekaa tu ategemee atoe nyimbo i-hit afanye ‘show” Nyandu alifunguka.

Pia Nyandu amesdai kuwa ukimya wa muda mrefu wa kundi lao la B.O.B Micharazo hauwezi kuliua kundi hilo la HipHop.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

fu

Future atoa ratiba ya Tour yake, Tanzania ndani

sadockJune 23, 2017
lid

New video-Kutoka kwa Lidy Mgaya-Tuilinde Amani Yetu

sancho songJune 22, 2017
casi

New-Cassim Mganga Feat. Baby J | Lea | Official Music Video

sancho songJune 22, 2017
Tiwa1

Nyingine mpya kutoka kwa Diamond Platnumz na Tiwa Savege-Fire

sancho songJune 22, 2017