Hot Below Trending

Olivier Giroud alisababisha nikafukuzwa kazi – Ronald Koeman

Olivier Giroud alisababisha nikafukuzwa kazi – Ronald Koeman
Profile photo of sadock

Aliyekuwa meneja wa Everton Ronald Koeman amesema kuwa kushindwa kwake kumsaini mshambuliaji Olivier Giroud msimu huu kulichangia kufutwa kwake.

Koeman alifwa siku ya Jumamosi huku Everton wakiwa nafasi ya tatu kutoka mkia.

Anasema Giround, 31, alikaribia kukubali kuhamia Goodison Park.

Everton ilimuuza mfungaji wao bora zaidi Romelu Lukaku, kwenda Manchester United mwezi Julai katika makubaliano ya kima cha pauni milioni 75.

“Lukaku alikuwa muhumu kwetu, sio tu kwa magoli yake, lakini jinsi alikuwa akicheza,” alisema Koeman.

Everton ilitumia pauni milioni 150 kumununua mchezaji wa kiunga cha kati Gylfi Sigurdsson kwa pauni milioni 45, Kipa Jordan Pickford kwa pauni milioni 30 na mlinzi Michael Keane kwa pauni milioni 30 na mchezaji wa kiungo cha kati Davy Klaassen kwa pauni milioni 24.

 

 

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
tottenham_kane_mobile_top

Orodha ya wacheza wenye thamani ya juu zaidi duniani

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017