Entertainment

Ommy Dimpoz afuta post ya Mama Diamond

Ommy Dimpoz afuta post ya Mama Diamond
Profile photo of sadock

Ommy Dimpoz ameamua kuchukua maamuzi ya kuifuta post kuhusu Mama Diamond baada kupewa ushauri na watu mbalimbali kuhusu kuhusisha wazazi kwenye bifu yake na Diamond.

Screen-Shot-2017-08-24-at-17.14.44

Msanii huyo ameamua kufuta picha aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram akiwa na Mama yake Diamond, Bi Sandrah na kuandika ujumbe mzito ambao watu wengi wamechukulia ni kama matusi kwa mama huyo na sio adui yake husika ambaye anapambana naye.

Baadhi ya watu walioonekana kukerwa na maneno ya Dimpoz ni meneja wake wa zamani, Mubenga, Nay wa Mitego na wengine.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017