Entertainment

P.Diddy abadilisha tena jina lake, sasa anata aitwa Brother Love

P.Diddy abadilisha tena jina lake, sasa anata aitwa Brother Love
Profile photo of sadock

Katika siku yake ya kuzaliwa Sean Combs Aka Diddy ambaye ndio msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi akiwa na thamani ya dola bilioni moja ametangaza jina lake jipya.

Diddy anasema ‘Leo rasmi nitaanza kuitwa Love a.k.a. Brother Love, sitaitika tena nikiitwa Puffy, Diddy, Puff Daddy au jina lingine lolote’

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017