TEAM TZ

XXL LIVE - Clouds FM

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by Shaban ally omary on September 28, 2010 at 12:05am
Big up clouds
Comment by Shaban ally omary on September 28, 2010 at 12:01am
2mrw rudia hiyo 2toke ya quic racka
Comment by Frances Timo on September 27, 2010 at 1:16pm
mkianza kipindi naomba mfikishe salamu kwa mchomvu maana tumemmiss ile mbaya,aje basi walau atupe hai jombaa,mwambieni HABARI YAKE BANA,Am out.Halla
Comment by novart herman sebastian on September 27, 2010 at 12:35pm
leo mnavyo anza kipindi mtugusie nani kazaliwa leo yani any super star shabiki wenu novee from klm.
Comment by Koka Albert Emmanuel on September 27, 2010 at 12:24pm
naomba namba ya kutuma msg kwenye vipindi vya power breakfast,xxl, jahazi pamoko na total request pls.
Comment by Koka Albert Emmanuel on September 27, 2010 at 12:22pm
I luv u guys, keep it up. hongereni kwa tunzo yenu ya super brand kama sikosei, big up.
Comment by novart herman sebastian on September 17, 2010 at 1:12pm
xxl vipi sallama hapo studio inakuaje xxl live kwenye net nime click as i see lakin siwapati nini problems
Comment by novart herman sebastian on September 16, 2010 at 1:43pm
ungenipigia watasemasana ya tid na nazizi itaku fresh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Comment by novart herman sebastian on September 16, 2010 at 1:41pm
mzuka sana tu akuna tabu
Comment by Hauli Benson on September 15, 2010 at 9:54am
sap guys
Comment by Dijay Jutoboy on September 7, 2010 at 1:59am
niaje wazeiya, i like 1 day nije kupiga mamixin, ndani ya mawingu frequence modulation, au vp wakuu?
Comment by Rajabungalai on September 6, 2010 at 2:33pm
Niaje B12 uko poa.Ukinidoshea ngoma ya 50cent get up itakuwa poa.
Comment by fredd johnstone chacha on September 2, 2010 at 2:14pm
yani freshiiii, hakuna utata mara tata
Comment by prelly john sawaya on August 31, 2010 at 2:47pm
yani u guyz u jst rock my world.....................lv u alllllllllllllllllllll
Comment by shukuru mwijage jabir on August 25, 2010 at 11:47pm
Clouds fm mpo juu sana kwa kila endeleeni ku2intertin sisi mashabiki wenu,wekeni enterviwe za wasanii kwenye blog yenu na kwenye twitter au co wakubwa.
Comment by David Charles Mgassa on August 24, 2010 at 11:08pm
Clouds fm shobo aisee, mko poa kiukweli yaani ni mbalataaaa' Ni hivi akina Dina katika kipindi chao wapige nyimbo zinazoendana na show yao, kwani inahusu wao kupiga nyimbo za HipHop na Bongo flava za ukweli ili khali Taarabzipo.? Ni Hilo tu Inshu nyingine wako poa.
Comment by David Charles Mgassa on August 24, 2010 at 7:58pm
Clouds fm shobo aisee, mko poa kiukweli yaani ni mbalataaaa' Ni hivi akina Dina katika kipindi chao wapige nyimbo zinazoendana na show yao, kwani inahusu wao kupiga nyimbo za HipHop na Bongo flava za ukweli ili khali Taarabzipo.? Ni Hilo tu Inshu nyingine wako poa.
Comment by sabri dread on August 21, 2010 at 1:17pm
mambo vipi B 12 and adam mchumv, ningepeda kujua kwamba walio kwenda kununua viwanja ni wakina na nn.
Comment by jacob mgaya on August 20, 2010 at 11:29am
ebwana wa zeiya wa mjengoni mnatisha
Comment by chrispin mwandambo on August 17, 2010 at 12:34pm
kama vip ni gongeeni ngoma ya hello good morning imwendee hamis a.k.a bemilee.
am chrispin 4rm pugu

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service