TEAM TZ

XXL LIVE - Clouds FM

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by shapufredy on February 22, 2011 at 10:20am
GONGO LA MBOTO mambo c mazuri so machizi,wana 2amke kuchangia wahanga pale kat
Comment by shapufredy on February 22, 2011 at 10:17am
e bwan mi naona watangazaj watashinda maan pale kat mchomvu atakuw kipa so no goli
Comment by Godlisten Anderson on February 22, 2011 at 2:12am
twangala mi naona timu ya waigiza filamu lazma wafungwe coz pale kwa waimbaji kuna akina alikiba,hbaba na chidy
Comment by babura lucas on February 21, 2011 at 5:40pm
mungu aziweke roho za wahanga wote mahali pema peponi
Comment by anthony chanya on February 21, 2011 at 3:47pm

hongera sana wasanii kwa moyo mnao uonyesha hasa bro fid q kwa kujitolea kwa hali na mali kuwapa sapoti wahanga wa mabomu huko gongo la mboto hii inaonyesha kuwa hamko nac ktk raha au gambe tu bali na shida pia

Comment by collinmwanga on February 21, 2011 at 3:16pm
10 g ipo?ka vp iingie bongo cna mzuka na video kabisa
Comment by Boniphace michael on February 21, 2011 at 3:10pm
Kitu cha tanesco mawenge yan mgawo wa umeme unatufanya tushindwe kusikiliza xxl ila fresh tu mwenye enz mungu awabarik hawa tanesco kwa mishahara isiyo na uwajibikaji XXL 4 ever bana!!!
Comment by Alfred Barnabas Lyova on February 21, 2011 at 3:01pm

MAMBO VIPI XXL, NIMEUPENDA HUO MPANGO MZIMA, ILA NAHISI WASANII WA FILAMU WATAFUNGWA MENGI, KWANI KUNA MA HEBEBEE WENGI KAMA WAKINA HEMEDI. NI MIMI ALFRED LYOVA>

Comment by martin kirokati on February 21, 2011 at 2:27pm
niaje  XXL nimeupenda sana huo mpango wenu ila naomba wasanii wa mziki wafungwe magoli mengi ili mapato ya uwanjani yawe makubwa. big up  i hope god atabaliki mpango wenu
Comment by erk jonas makigi on February 21, 2011 at 12:36pm
nikivili cja usoma mchezo man
Comment by Rocky Francis on February 21, 2011 at 8:21am
Mh! Mnarun vibaya xana.
Comment by yusuph steven mbwana on February 19, 2011 at 6:07pm
da mazeeeeeeee!!!!!!  fid uko juuuuuuuuuu kama mvi za babuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! rraaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
Comment by Frank Mhando on February 19, 2011 at 5:09pm

E mungu ibarik Tz yetu, tuepushe na haya mabom yanayolipuka kila baada ya muda angalia tunapoteza ndugu zetu na wapendwa wetu wengi..... E mungu mungu tunakuomba uwaweke mahali pema peponi AMEEEEIN

 

Comment by MAREGES NYAMAKA on February 19, 2011 at 4:57pm
poles ana  kwa ndugu zetu waliopatwA na maafa makubwa ya kulipuka kwa mabom gongo la mboto misaada yetu ya mali namali inaitajika sana  utu utumike nawashangaa sana hawa vibaka ambao hawana hat haya kupora kwenye nyumba za waadhirika.but all in all one love 
Comment by Edmund on February 19, 2011 at 4:42pm
EBWANA MKALI ANAJULIKANA DOZE
Comment by Jeremiah kulwa on February 19, 2011 at 1:44pm

clous fm real ur doing da great job mnastahili hilo jina maana clous covers the society and give da home to those who are able n not.Nawapa big up ile mbayaaa.......

.

Comment by Ree12 on February 18, 2011 at 9:26pm
kweli nyie nomaaa mnastahili zawadi coz mmepushhhhhhh mziki wa kibongo from one step to ...........dozen,feeeh,adam,ruben,steve b,sudy brown,zamaradi big respect nami nataka niwe mmoja kati yenu coz nishapandwa mizuka tangu nikiwa mikoa sasa nipo dar tell naweza join crew yenu??????
Comment by steve msengi on February 18, 2011 at 5:10pm
Honestly, clouds entertainment mnasitahili pongezi kwa kuwa front line kushughulikia wale ma victims wa ma bombs also kuwa up date wa-TZ kupitia media zenu, yenyewe only can bravo!
Comment by Lebon Premier on February 18, 2011 at 4:32pm
Kwani wanajeshi wa Tanzania hawajui kuhifadhi mabomu?Coz kila cku Tanzania kwa nini?
Comment by Michael Francis Nyenza on February 18, 2011 at 4:10pm
Japo hajali haizuiliki, lakini inaepukika. so kwa tukio hilo si mara ya kwanza kutokea means ni uzembe. Waziri wa ulinzi ajiuzulu, pomoja na viongozi husika wa JWTZ.

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…

Latest Activity


FREE FLAVA

TOP PHOTOS

1. IMG-20150312-WA0014

Added by Salvatory Miheza on March 14, 2015

3. Nah real

Added by ChuiChui-Teamtz on March 30, 2015

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service