TEAM TZ

XXL LIVE - Clouds FM

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by Anthony Wallafrid on February 18, 2011 at 3:08pm
Kuna wa2 wanahis kwamba unapokua una record nyimbo kwajil ya wahanga au any other victms kwamba hao wasanii they make money kwa ajil ya benefit zao nakuskika and ol dat kumbe sio they do it ku expres filing zao kwa vctms thru songs tuliona maafa ya haiti n they made a nc song so bigup kwa artist walio hit the studio tongwe show lv!
Comment by Ntuji bukombe. on February 18, 2011 at 2:49pm
Kwel inauma sana!kwa nn yote haya kwa nn watoto tena hawana hatia,hawajui wazaz walipo usikute ndo wako mahututi au ni miongon mwa20 waliokufa,hawajui kesho yao.MWENYEZ MUNGU WASIMAMIE.
Comment by Isaack Waziri Lord Ez on February 18, 2011 at 2:28pm
da i feel sory kwa wahanga wote wa gongo la mboto,its painful kwa taifa so wa tz kwapamoja lets show lv..ikiwezakana show lv by nako 2nako iwaendee the victims "tony knowlegez" rchuga standup.
Comment by stanslaus samwel.shula on February 18, 2011 at 2:00pm
kwa mfano unapewa kazi ya siku moja we unafanya siku mbili.dat the problem starts
Comment by stanslaus samwel.shula on February 18, 2011 at 1:56pm
wanzania sio wasikivu.na niwazee wa zima moto tutarajie mengi kama ya gongolamboto mpaka tujirekebishe
Comment by ramadhani mohamedi on February 18, 2011 at 1:35am
ebana dah ful miamia
Comment by Nelson Fortidas on February 17, 2011 at 5:07pm
mi napata wasi wasi kwamba watu wetu wanauza mabomu ili kupoteza ushahidi wanaamua kulipua. maan ni kitu anbacho si lahisi kwa jinsi ilivyo kwanba kitu kama bomu kinafikia wakati wa kulipuka ina maana hawafanyi ukaguzi na hali ya usalama wa mabomu yao???
Comment by johari kilagwa on February 17, 2011 at 5:00pm

POLENI SANA  TENA SANA WATANZANIA WENZANGU WALIO DHURIKA

Comment by KADALA CHARLES on February 17, 2011 at 4:10pm
HIVI SERIKALI TZ IPO KWELI!!!!!.............POLENI SANA NDUGU ZETU WA B/MBOTO NA VIUNGA VYAKE GOD WILL TAKE OVER.
Comment by Kelvin frank on February 17, 2011 at 3:37pm
Wakazi wa babati-manyara Wanawapa pole wale waliopoteza ndugu zao kwa milipuko iliyotokea jana gongo la mboto..MUNGU AWATANGULIE...Kelvin minja ,..babati manyara

Comment by martin kirokati on February 17, 2011 at 3:12pm

Habari yenu xxL usiku wajana ulikuwa wa milindimo na kushuhudia vifo vya watu ambao nilishinda kuwapa msaada na kuangalia wakifa bila kuwa na uwezo wa kuwasaidia.lakini maisha yanabaki yakiendelea.pole XXL na watanzania.

Comment by james goodluck lwaho on February 17, 2011 at 2:26pm
habari yenu banaaaa nawapa pole woote walioathirika na mabomu nasema pamoko xanaa kwenye shida na raha hili ni janga letu wote teen tanzanians halaaaaa
Comment by Kelvin frank on February 16, 2011 at 11:55pm
Ebana da ni mori haina wori...yani hakuna majotoo aisee....mko juu zaid ya kizibo cha soda naa piaaa!!! Mnabast zaidi ya pancha....keep on tach...iz ur boy man goraaa...

Comment by Henry Mwaya on February 16, 2011 at 8:47pm
pamoko sana wazazie dizain ka mnaipeleka level nyingne hii media industry
Comment by Apronary Maligisa on February 16, 2011 at 1:21pm
Habari zenu banaa? idi inakwendaje wazazi!
Comment by Dillu Juniour on February 16, 2011 at 12:54pm
mambo ni gani jombaaa wa xxl!kama vp tupia track ya Position of Power ya m2 mzima 50c,nitakubali nyie ni wa kare............vp au mtakuwa off air cuz i heard that 2day mida flan mta kuwa off air cuz of tech problem!

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…

FREE FLAVA

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service