Entertainment

Picha: Ay amchumbia mpenzi wake wa muda mrefu, Remy

Picha: Ay amchumbia mpenzi wake wa muda mrefu, Remy
Profile photo of sadock

Siku chache baada mkongwe wa Hiphop Bongo, Prof. Jay kufunga ndoa, mkali mwingine wa Hiphop AY na yeye amefuata nyayo, amemchumbia mpenzi wake.

AY1

Ay amemchumbia mpenzi wake wa muda mrefu Remy ambaye ana asili ya Rwanda siku ya jana.

AY4 aY3

Ay aliwahi kusema kuwa amekuwa na mpenzi wake huyo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7.

Comments

comments

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017