Entertainment

Picha: Dj Khaled aanza kushoot video kwa ajili ya album mpya, aingia location na J.Bieber, Lil Wayne na Migos

Picha: Dj Khaled aanza kushoot video kwa ajili ya album mpya, aingia location na J.Bieber, Lil Wayne na Migos
Profile photo of sadock

DJ Khaled is on a “top secret” mission, ameingia location na mastaa kibao kuanza kuandaa video kwa ajili ya album yake mpya ‘Grateful’

kha

Dj Khaled ameanza kushoot video mpya na Justine Biber, Lil Wayne, Chance the rapper na Migos kwenye ngoma inayoitwa “I’m the one”

khaa

“#SHINING AND KNOWING IM SHOOTING A VIDEO FOR ANOTHER SUPER SMASH ANTHEM THATS TOP SECRET!! FAN LUV I PROMISE YOU IM GOING ALL OUT ! I GOT US!! @wethebestmusic @epicrecords @rocnation 🙏🏽🔑 #GRATEFUL THE ALBUM ITS COMING !!!,” ameandika Khaled kwenye moja ya picha alizoziweka kwenye mtandao wa Instagram.

khald

mzee

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017