Entertainment

Picha: Hatimaye Beyonce awaonesha mapacha wake

Picha: Hatimaye Beyonce awaonesha mapacha wake
Profile photo of sadock

Hatimaye Beyonce amewaonesha hadharani mapacha wake, Sir Carter na Rum 1.

Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.

20065807_121522141795348_6168977199304015872_n

“Sir Carter and Rumi 1 month today. 🙏🏽❤️👨🏽👩🏽👧🏽👶🏾👶🏾,” ameandika Queen Bey kwenye mtandao huo.

Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wakiume.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017