Entertainment

Picha: Rapper Gucci Mane afunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Keyshia Ka’oir

Picha: Rapper Gucci Mane afunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Keyshia Ka’oir
Profile photo of sadock

Tarehe 17/10/2017 ni siku muhimu kwenye maisha ya rapper wa Marekani, Gucci Mane kwasababu ndio siku aliyofunga ndoa na mpenzi wake Keyshia Ka’oir.

22637347_151631285443331_1675299238445056000_n

Guccie Mane ambaye jina lake halisi ni Radric Delantic Davis, amefunga ndoa hiyo katika mji wa Miami, maeneo ya Four Seasons.

Harusi hiyo iliudhuliwa na mastaa kadha wakiwemo Diddy ‘Combs’, Kim Zolciak-Biermann, Karrueche Tran, Lil Yachty, 2 Chainz, Rick Ross, Big Sean na Jhene Aiko.

22637688_247640175761926_3019855419225931776_n

22500419_308829689523963_6423625376492158976_n

22500288_135569670504687_8144771638475358208_n-1

Comments

comments

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017