Entertainment

Picha: Shamsa Ford achezea kichapo alipokua akiamua ugomvi

Picha: Shamsa Ford achezea kichapo alipokua akiamua ugomvi
Profile photo of sadock

Staa wa Filamu za Bongo, Shmasa Ford amepata jeraha usoni baada ya kupigwa ngumi nzito alipokuwa kijaribu kuamua ugomvi wa watu ambao bado hawajajulikana moja kwa moja ni nani au sababu ya ugomvi ni nini.

page-7

Malkia huyo wa filamu amepost picha kuonesha jeraha hilo na kuandika,

“Jana kwa moyo mmoja nimeenda kuamlia ugomvi watu wasipigane mwisho wa siku nikaambulia Mimi ngumi..HUYU mtu alishiba sana aiseee ngumi ilikuwa nzito sana..😃😃 niombeeni ndugu zangu panauma,”

 

Kwasasa anaendelea na matibabu.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

neyo-humble

New Audio: Neyo arudia ngoma ya ‘Humble’ ya Kendrick Lamar

sadockMay 4, 2017
Drake-Bruno-Mars-Nicki-Minaj-and-All-of-the-Winners-From-the-2016-AMAs

Drake, Nicki Minaj, Bruno Mars, Celine Dion kutumbuiza kwenye Billboard Music Awards 2017

sadockMay 2, 2017
cs1

Chris Brown aachia Tracklist ya ngoma zitakazokuwepo kwenye Album yake mpya ‘Heartbreak On A Full Moon’

sadockMay 2, 2017
Tiwa-Savage-–-“Bad”-ft.-Wizkid

Wizkid na Tiwa Savage kutumbuiza jukwaa moja na Jay Z, J Cole na Mastaa wengine wakubwa duniani

sadockMay 2, 2017