Entertainment

Picha ya Diamond na Hamisa wakiwa kitandani yavuja mtandaoni

Picha ya Diamond na Hamisa wakiwa kitandani yavuja mtandaoni
Profile photo of sadock

Miongoni mwa stori kubwa katika burudani na udaku Tz ni Picha inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wakiwa kitandani imesambaa mtandaoni

Hamisa-Mobetto-Na-Diamond-Platnumz-Kitandani-768x768

Picha hiyo imevuja saa chache baada ya 40 ya mtoto wa kiume wa Hamisa anayetajwa pia kuwa ni mtoto wa Diamond.

21827693_904570876374450_3360533874412093440_n-768x960

Hata hivyo mbali ya picha hiyo kuvuja sura ya mtoto huyo bado hijaoneshwa huku jina lake lake likibadilishwa, mwanzoni alikuwa anaitwa Abdul Naseeb lakini kwasas anaitwa Prince Abdul Latif.

 

 

Comments

comments

More in Entertainment

22637347_151631285443331_1675299238445056000_n

Picha: Rapper Gucci Mane afunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Keyshia Ka’oir

sadockOctober 18, 2017
luluuuu

Kesi ya mauaji bila kukusudia inayomkabili Elizabeth Lulu kuanza kusikilizwa wiki hii

sadockOctober 17, 2017
_98330961_4a22e640-0e79-444e-abc9-f7cb171064d0

Ed Sheeran apata ajali ya baiskeli, avunjika mkono

sadockOctober 17, 2017
maxresdefault (8)

Aslay: Huwezi nifananaisha na Diamond na Alikiba, nitajitahidi kuwafikia

sadockOctober 17, 2017