Hot Below Trending

Pray for Tundu Lissu: Ujumbe wa mastaa kwenye mitandao

Pray for Tundu Lissu: Ujumbe wa mastaa kwenye mitandao
Profile photo of sadock

Masuper Star mbali mbali wa Bongo wameungana kutoa salamu za pole na kumtakia heri Mbunge wa Singida KaskazinI, Mhe. Tundu Lissu ambaye leo hii amepatwa na mkasa wa kushambuliwa kwa kupigwa risasi mjini Dodoma.

 

Kupitia mitandao ya twitter na instagram wametoa pole hizo, miongoni mwao ni Joh Makini, Diamond, Lady Jaydee, Mbwana Samatta, Idris Sultan, Flaviana Matata, Wakazi, Nisher, Linex, Joh Makini na wengineo.

jidejaydeeMwenyezi Mungu aliekuumba akakuinue kutoka kwenye kitanda walichokulaza binadamu tusiowafamu
Huwa tunaamini kwa jina la Baba, la mwana na la roho mtakatifu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
#PrayForTunduLissu

wakazimusicThey are afraid so they tryna silence us, If they could they would, shoot us in broad day with silencers, and line us up, ask us whose side is us © Wakazi #JusticeLeague

diamondplatnumzInshaAllah Mwenyez Mungu Akusmamie na kukurudishia Afya njema…🙏

kalajeremiaheEWE MUNGU WA IBRAHIM MUNGU WA YAKOBO MUNGU WA ISAKA KAWE MUNGU WA LISSU SASA NA HATA MILELE TWAOMBA.

samagoal77Hii sio habar nzuri mungu atamponya tumuombe, so sad

https://twitter.com/BDozen/status/905828611860684802

https://twitter.com/IdrisSultan/status/905774272437739520

https://twitter.com/FlavianaMatata/status/905762723467849729

Comments

comments

More in Hot Below Trending

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017