Entertainment

Producer wa Cardi B aomba radhi kwa kuvujisha taarifa za colabo na Beyonce

Producer wa Cardi B aomba radhi kwa kuvujisha taarifa za colabo na Beyonce
Profile photo of sadock

Producer wa rapa Cardi B ‘AshByMix’ ameomba radhi kwa Timu ya Beyonce kwa kuvujisha taarifa za colabo ya Cardi B na Beyonce ‘WET’.

Producer huyu anasema Mtandao wa HotNewHipHop imeingilia maisha yake binafsi kwa kuchukua kila post yake na kuiweka kwenye habari

22639557_2006484042909773_1266450808933711872_n

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017