Entertainment

Prof Jay: Nimeshtuka sana na taarifa za watu wasiojulikana kuvamia studio za Tongwe Rec. na kumteka ROMA na Moni central zone

Prof Jay: Nimeshtuka sana na taarifa za watu wasiojulikana kuvamia studio za Tongwe Rec. na kumteka ROMA na Moni central zone
Profile photo of sadock

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay, amesema rapper Roma Mkatoliki pamoja na rapper Moni Central Zone wamechukuliwa na kupelekwa kusikojulikana na watu waliozivamia studio za Tongwe Records jana usiku.

Profesa amedai watu hao wamemchukua pia kijana wa kazi, computer ya studio pamoja na TV. Ujumbe wa Prof. Jay aliouandika Instagram unasema,

ROMA MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU HUU… Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONI @moni_centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana.. Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!”

Comments

comments

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017