TEAM TZ

All Blog Posts Tagged 'SASA' (10)

HAYA SASA MBONA... MAJANGA!

Na Waandishi Wetu

HUKU mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Langa Mangisen Kileo akitarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni, Dar, Ijumaa Wikienda limebaini kuwa…

Added by Teen Newz on June 18, 2013 at 1:49pm — No Comments

UPDATE 5 : KIFO CHA ALBERT MANGWAIR - PICHA ZA HOSPITALI AMBAYO MWILI WA NGWAIR UMEHIFADHIWA KWA SASA NA HOSPITAL ALIYOLAZWA M2THE P

UPDATE 5 : KIFO CHA ALBERT MANGWAIR - PICHA ZA HOSPITALI AMBAYO MWILI WA NGWAIR UMEHIFADHIWA KWA SASA NA HOSPITAL ALIYOLAZWA M2THE P…

Added by Teentz - Full Mikogo on May 28, 2013 at 8:39pm — 2 Comments

SAJUKI: SASA NIKO POA , HII NDIYO NGOMA YANGU MPYA

Ni kitambo sasa  tangu kuwepo kwa taarifa kuwa staa wa Bongo Movie, Juma Kilowoko, 'Sajuki' ni mgonjwa , huku pia taarifa za karibuni zikidai kuwa  hali ya  nyota huyo  bado ni tete na kuzua hofu kubwa kwa mashabiki wake.

Kupitia  teentz.com pekee taarifa rasmi ni kuwa hali nyota huyo kwa sasa  ni…

Added by Teen Newz on October 30, 2012 at 2:30pm — 1 Comment

AUNTY EZEKIEL SASA MKE WA MTU

Picha Mbali Mbali zikionyesha Aunty Ezekieli Akiwa ndani ya Shela ya Arusi ya Kiislam ..Bi Dada ndio Kashaolewa hivyo ..Hongera zake sana Tunawatakiwa maisha mema yeye na Mume Wake ...Safiiiiiiiiiiiiii…

Added by Teen Newz on October 19, 2012 at 1:01pm — 10 Comments

TEMBA SASA ATOKA NA NYOTA NDOGO

MSANII wa muziki kizazi kipya bongo Mh. Temba asema kuwa anatarajia kutoa ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nawachangaya’, huku akiwa amefanya na wasanii Nyota Ndogo na Bob Mapesa kutoka Kenya.

Temba alipozungumza juu ya ujio wa albamu yake ya nne aliyoipa jina la ‘Ufisadi, Maradhi na Ujinga’, ndipo alitoa ishu hiyo ambapo anaamini kuwa ujio wa ngoma hiyo ndiyo hatua ya mwisho ya kutoka kwa albamu yake.

Alisema kuwa ameamua kuwapa shavu wasanii hao…

Added by Teen Newz on September 26, 2012 at 1:21pm — No Comments

UWOYA SASA MATAWI YA JUU ZAIDI

WAKATI msanii Irene Uwoya akiendelea kufanya mchakato wa kutaka kushiriki kwenye filamu za kimataifa, tayari inadaiwa kuwa anatarajia kula shavu kubwa ambalo hajawahi kuliota la kushiriki filamu moja na msanii maarufu Halle Berry kutoka marekani.

Halle Berry ni moja ya wasanii mahiri kabisa ambao wana uwezo mkubwa kwani ameweza kuonesha uwezo wake kwenye filamu kama ‘Die Another Day’, Catwoman, New Year’s Eve, Monster’s Ball na nyingine nyingi.

Ishu ya Uwoya…

Added by Teen Newz on September 25, 2012 at 11:44am — 3 Comments

PHD SASA 'AMTAKA' JACK WA CHUZI

BAADA ya msanii wa filamu Jackline Pantezel ‘Jack wa Chuzi’, kuwatetea wanawake juu ya kuchukuliwa kama samaki na msanii Hemed Suleiman ‘P.H.D’ sasa staa huyo naye ameamua kufunguka na kudai kuwa hakupanga kutembea na mwanadada huyo lakini sasa ajiendae kutoka naye kwani amejipendekeza kwa kuzungumzia…

Added by Teen Newz on September 9, 2012 at 1:18pm — 19 Comments

DIAMOND SASA KUIMBA TAARABU

BAADA ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, msanii nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa taarab.

Diamond alisema Jijini Dar es Salaam wiki hii kuwa,amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa na…

Added by Teen Newz on July 31, 2012 at 1:30pm — 15 Comments

ZANTEL SASA INTERNET YA 3G NI MWENDO MDUNDO

Kampuni ya simu inayoongoza Zanzibar na kuaminika zaidi katika mawasiliano ya mtandao nchini, Zantel, imepiga hatua nyingine kubwa kwa uzinduzi rasmi wa teknolojia ya mwasiliano ya 3G, ambayo itaileta huduma…

Added by Teen Newz on May 12, 2012 at 2:07pm — No Comments

RATIBA YA MAZISHI YA MSANII STEVEN KANUMBA ILIYOTUFIKIA MPAKA SASA

Mwili wa marehemu Steven Kanumba utachukuliwa kwa msafara kutoka Hospitali ya Taifa, Muhimbili saa 2:30 asubuhi. Utapitishwa Barabara ya Umoja wa Mataifa na Ali Hassan Mwinyi hadi Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni ambako Misa ya kumuombea itasomwa pamoja na salamu mbalimbali kabla ya watu wote…

Added by Teen Newz on April 9, 2012 at 9:59pm — 5 Comments

G5 CLICK - LATEST NEWS

KINARA WA TMT, MWANAAFA MWINZAGO ALIVYOONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50

Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na Kuhudhuriwa na Mamia ya Watanzania.
Host Wa TMT 2014 Joti akimpongeza Baba wa…

Latest Activity

Fahim Rana posted a status
6 minutes ago
Sukma Darajat posted a status
"Watch Get On Up Full Movie Streaming Online (2014) 1080p HD Quality http://www.youtube.com/watch?v=HOsZ1GPftYU"
25 minutes ago
arafvai posted a status
26 minutes ago
Sukma Darajat posted a status
"Watch Frontera Full Movie Streaming Online 2014 1080p HD http://www.youtube.com/watch?v=bz2s9v-mlEE"
29 minutes ago


FREE FLAVA

21 century funny babies

21 century funny babies

Added By: FREEFLAVA
on 09-06-2014
Category: Comedy
Tags: 21 century funny babies
Views: 1302 | Comments: 0TOP PHOTOS

2. picture074

Added by cruzy on September 26, 2014

3. karibu

Added by Yonah Mussa Jr on September 3, 2014

 

© 2014   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service