TEAM TZ

All Blog Posts Tagged 'WEMA' (18)

NAY NDIYE ‘MDUDU’ NDOA YA WEMA

SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS

IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.…

Added by Teentz - Full Mikogo on August 13, 2014 at 1:07am — No Comments

WEMA,DIAMOND WAKIONYESHA ISHARA YA VIDOLE YA WCB

Kuna baadhi ya maneno,vitendo majina ama taasis,vinakuwa na ishara zake zinazotoa maana ya neno ama kitu husika,mfano.Ukionyesha ishara ya vidore viwili unamaanisha amani.Diamond nae amekuja na ishara yake ya vidole inayotambulisha  kampuni yake ya WASAFI ama WCB.

kuna pichaanaonekana anaonyesha  ishara ya vidole vitatu,vikisimama badala ya W(WCB)…

Added by ChuiChui-Teamtz on October 16, 2013 at 8:30am — No Comments

WEMA na DIAMOND WARUDIANA

Stori: Waandishi Wetu

WACHUMBA wa zamani, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiyo habari ya mjini kwa sasa, kwamba wawili hao wamerudiana tena kwa kasi kupita ile ya mwanzo, Amani limechimbua.…

Added by ChuiChui-Teamtz on October 3, 2013 at 1:14pm — No Comments

WEMA AMZIMIKIA BIMP WA BBA (I think Bimp looks soooo much like )

Beautiful Onyinye Wema Sepetu ambaye pia anamiliki kampuni ya Endless Film ameonyeshwa kuvutiwa na mshiriki wa shindano la Big Brother kutoka nchini Ethiopia BIMP.…

Added by ChuiChui-Teamtz on August 6, 2013 at 11:00am — 1 Comment

WEMA, WE ACHA TU - alikodisha ndege ya kifahari kutoka Dar kwenda Arusha

 

Stori:Imelda Mtema

Kwa mara nyingine staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu anatengeneza kichwa cha habari baada ya kuacha historia jijini Arusha kufuatia ulinzi mkali aliokuwa nao, Ijumaa lina data zote.…

Added by ChuiChui-Teamtz on April 28, 2013 at 11:43am — 1 Comment

KAJALA: AMLIPA WEMA FADHILA KWA TATUU MGONGONI

Baada ya…

Added by ChuiChui-Teamtz on April 5, 2013 at 12:08pm — 1 Comment

WEMA AMPULIZIA MBWA WAKE PAFYUMU YA DOLA 120

BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu kama kawa ameshuka na mpya ya kumpulizia mbwa wake pafyumu yenye thamani ya dola 120 (zaidi ya shilingi 180,000).Mkali huyo asiyekaukiwa na matukio Bongo amefunguka kuwa analazimika kumgharamia mbwa huyo pafyumu hiyo kwani ni moja kati ya viumbe ambavyo anavihusudu kupita…

Added by ChuiChui-Teamtz on February 4, 2013 at 1:08pm — 5 Comments

MSIKIE WEMA SEPETU AKIREKODI STUDIO

Added by ChuiChui-Teamtz on October 9, 2012 at 2:17pm — No Comments

MMILIKI WA NYUMBA YA WEMA HUYU HAPA

Siku chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa mjengo huo ameibuka.

Akizungumza na Teentz.com mapema leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili…

Added by ChuiChui-Teamtz on June 18, 2012 at 2:50pm — 33 Comments

WEMA SEPETU : MORACKA? AAH…WAPI?

Queen kutoka tasnia ya filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu, ametupilia mbali madai ya ‘star’ wa muziki wa kizazi kipya nchini Mohamed Hassan, ‘Moracka’ kuwa amewahi kutoka nae kimapenzi.

Akizungumza ‘live’ na mtandao namba moja kwa habari za mastaa…

Added by ChuiChui-Teamtz on June 14, 2012 at 2:00pm — 11 Comments

WEMA AVUA PETE RASMIAliyekuwa mchumba wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, mlimbwende Wema Isaac Sepetu ameivua rasmi pete ya uchumba kufuatia kupigwa chini na msanii huyo Ishu hiyo ya kusikitisha, ilijiri Jumatano ya Oktoba 19 mwaka huu, saa chache baada ya kujiridhisha na taarifa za kuachwa kwake.…

Added by ChuiChui-Teamtz on October 22, 2011 at 1:30pm — 54 Comments

VIDEO: WEMA SEPETU ALIVYOMPA TAFU MPEZI WAKE DIAMOND KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA, MASHABIKI WALIPUKA KWA NDEREMO NA VIFIJO

Mwanadada Wema Sepetu akimpa tafu mpenzi wake mwanamzuiki Daiamond kwa kuimba naye jukwaani, wakati alipokuwa akiimba katika tamasha la Msimu wa Dhahabu unaoendelea na Fiesta Serengeti kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, ambapo mwanadada huyo ametisha na kushangiliwa sana na umati wa mashabiki waliokuwepo katika tamasha hilo lililohudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Bongofleva, kama unavyomuona Diamond katika picha kama vile kasusa lakini wapi…

Added by ChuiChui-Teamtz on July 5, 2011 at 2:27pm — 38 Comments

Wema – Sijaachana na Diomond, Chalz Baba anatafuta Skendo ili aandikwe kwenye magazeti

Wema sepetu akanusha uvumi wa watu kua yeye na mpanzi wake ambae ni Msanii wakizazi kipya Diamond kua wameachana...katika Interview na mtangazaji wa kipindi cha Take One Zamaradi Mketema mwanadada wema Sepetu amefunguka kua Yeye na Diomond bado ni wapenzi na kuhusu swala la kesi yake na…

Added by ChuiChui-Teamtz on May 17, 2011 at 12:30pm — 20 Comments

EXCLUSIVE INTERVIEW WITH WEMA SEPETU KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND....

Hiyo ilikuwa ni interview ambayo niliifanya kupitia TAKE ONE ya CLOUDS TV ambayo huwa kila JUMANNE saa TATU kamili Usiku na MARUDIO ni Jumatano saa NNE na dakika tano…

Added by ChuiChui-Teamtz on April 20, 2011 at 3:00pm — 24 Comments

Monthly Archives

2015

2014

2013

2012

2011

2010

1999

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

TOP PHOTOS

1. IMG-20150312-WA0014

Added by Salvatory Miheza on March 14, 2015

3. Nah real

Added by ChuiChui-Teamtz on March 30, 2015

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service