TEAM TZ

Jumba la Freemasons lililoko eneo la posta jijini Dar es salaam.

NAITWA BAHMA RANKO BANADI NAISHI KATIKA MJI WA GEITA NCHINI TANZANIA KAKA YANGU WA TUMBO MOJA AISHIYE MJINI ARUSHA AMEJIUNGA NA FREEMASONS SASA HATAKI KUNIWEKA WAZI FREEMASONS NI NINI HASA? KWA MAANA NIMEKUWA NAPATA TAARIFA ZA KUTISHA KUHUSU FREEMASONS HATA HIVYO BADO SIJAPATA MAELEZO YA KINA KUHUSU HILI. VILE VILE NAOMBA KUFAHAMU IWAPO KUNA WATU MAARUFU WANAOJIHUSISHA NA JAMBO HILI HAPA NCHINI AU NJE HIVYO YEYOTE MWENYE KUFAHAMU HILI KWA UNDANI AWE NCHINI TANZANIA AU NJE YA NCHI NAOMBA TUWASILIANE KWA MAWASILIANO YAFUATAYO;
+255767-842378 AU +255719-233400
bbahma@yahoo.com
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU NYOTE.

....(jamani tumsaidie huyu ameuliza kule kwenye blog yangu www.novatzdream.blogspot.com)

Views: 12970

Tags: Dar, Freemasons, Jumba, eneo, es, jijini, la, lililoko, posta, salaam.

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by EVARIST ROBART KASHAGA on June 28, 2012 at 11:23am

Comment by Shahad on June 8, 2012 at 12:18pm

Freemason ni kundi moja la watu waitwayo SATANIST. Hawa ni watu ambao wajitolea roho zao kwa shetani/Lucifer kwa maana nyingine mshiriki wa freemason ni mtu ambae amemkana Mungu wake na kumfanya shetani/lucifer kuwa ni mungu wao na mtu yoyote anaetaka kujiunga na freemason ni lazima amkane Mungu wetu huyu alietuumba wote sisi na umkubali shetani kuwa mungu wako. Watu hufanya hivi kutokana na udhaifu wa imani ya Mungu wao na pia unapokuwa freemason mtu hupata mali na uwezo mkubwa kimaisha ambao hupewa na mashetani. Baadhi ya watu wakubwa washiriki wa freemason ni kama vile raisi wa marekani OBAMA, malikia wa uingereza ELIZABETH, POPE WOTE UWAJUAO KUANZIA PAPA JOHN PAUL, PAPA BENEDICT , RIHANNA, BEYONCE, MADONNA, EMINEM, KANYE WEST, JAY Z.....kwa kifupi ni kwamba freemason wapo kila mahali, na wanapokupa mafanikio makubwa wao huitaji kafara kubwa kwa mfano muimbaji KANYE WEST alipata mafanikio makubwa baada ya mama yake mzazi kufariki, EMINEM alitoa kafara ya rafiki yake bila kujua PROOF ambae baadae ndipo alitoa nyimbo TOY SOLDIER aliopewa na viongozi wa freemason, pia mchezaji wa ufaransa CISSE alipata jeraha kubwa kwa kuvunjika mguu vibaya baada ya kukataa ombi la freemason, DR.DRE pia ametoa headphones za BEATS BY DRE baada ya kupewa ofa hiyo na freemasons....freemason humfata mtu ambae ana jina kubwa duniani na kumpa ofa fulani ambayo akikataa hupatwa balaa pia mtu ambae anawajua vizuri freemason endapo atajaribu kutoa siri zao basi huishia kuuliwa ghafla kama LUCKY DUBE, MICHAEL JACKSON, raisi wa zaman wa marekani J.F.KENEDY, TUPAC na huenda hata mimi naekuandikia ujumbe huu...!!!, freemason wanamiliki makampuni mengi sana duniani na vyombo vyote vya habari kama vile CNN, BBC, AL JAZIRA, SKY NEWS na mengine mengi hivyo wanajua jinsi ya kuuficha ukweli na kutunga uongo kisha kuusambaza duniani kwa mfano ishu nzima ya OSAMA BI LADEN, huyu ni ambae hakuwepo kabsa duniani na ule mlipuko wa marekani wote ni mipango ya freemason....freemason/satanist wapo tangu kipindi cha manabii, wameanza kipindi cha nabii SULEIMAN (SOLOMON) NA wana ajenda kubwa na mbaya sana hapa duniani kwani hawa ndio wanaohusika na kitendo cha kuibadilisha biblia kwa kutoa baadhi ya maagizo na hii ndio sababu ya kuwa na utafauti mdogo kati ya QURA'AN na BIBILIA.NDIO NAJUA YOTE HII NI NGUMU KUAMINI LAKINI NDIO UKWELI....kwa anaetaka kujua ukweli zaidi kuhusu freemason aangalie documentary iitwayo THE ARRIVALS inapatikana hata YOU TUBE.....

Comment by ahmad vuitton on June 16, 2011 at 7:46pm
daaah brada kk dzain anakubania kama vp mfungukie 2..!
Comment by zuhura salim on May 29, 2011 at 3:23pm
freemason in devilish group wana pray to snakes lakini wanakataa ati ni brotherhood and why do they walk naked.jameni usijiunge dada
Comment by zuhura salim on May 29, 2011 at 3:17pm
Subiri kutolewa kafara na huyo nduguyo
Comment by damas filied on May 27, 2011 at 11:17am

U dont want to be apart of that,believe me

 

Comment by leonard ponziano on May 26, 2011 at 3:55pm
mchukulie poa ilo nii lyf lake mwenyewe
Comment by mohammed abdulhamid njovu on May 20, 2011 at 8:32pm
duu!mwana ingia google then andika wot unachotaka kuhusu freemasons!utapata lakin ni kitu ambacho  ni deep matters ambacho kinaurefu na ufafanuz mithili ya ukubwa bible au quran!
Comment by nury joel on May 20, 2011 at 10:34am
Ww mbane poa utajua my dia
Comment by Godbless Appiah Zachariah on May 19, 2011 at 8:48pm

Mie mmoja wao kama vipi ntafute.

 

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service