TEAM TZ

VIDEO: WEMA SEPETU ALIVYOMPA TAFU MPEZI WAKE DIAMOND KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA, MASHABIKI WALIPUKA KWA NDEREMO NA VIFIJO

Mwanadada Wema Sepetu akimpa tafu mpenzi wake mwanamzuiki Daiamond kwa kuimba naye jukwaani, wakati alipokuwa akiimba katika tamasha la Msimu wa Dhahabu unaoendelea na Fiesta Serengeti kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, ambapo mwanadada huyo ametisha na kushangiliwa sana na umati wa mashabiki waliokuwepo katika tamasha hilo lililohudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Bongofleva, kama unavyomuona Diamond katika picha kama vile kasusa lakini wapi anamcheki mtoto wakati akiimba kwa madaha.

Views: 6564

Tags: ALIVYOMPA, DIAMOND, FIESTA, KATIKA, KWA, LA, MASHABIKI, MPEZI, NA, NDEREMO, More…SEPETU, SERENGETI, TAFU, TAMASHA, VIDEO:, VIFIJO, WAKE, WALIPUKA, WEMA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by Dj kyoka on July 8, 2011 at 7:18pm
Imekaa poa sana Big up sana wema na Diamond!!! Music is real in ur Blood like me as Dj kyoka  i love  Music to Maximum!!! Big up sana Segereti also and clouds Fm Real Station!!!
Comment by Juma hamza mrisho on July 8, 2011 at 1:04pm
Some thing new, very nice
Comment by DENIS NDEGE CHAMURIHO on July 7, 2011 at 1:17pm
guyz hii clip inafirahisha sana halafu diamond anaonekana kama anamkwepa wema wats wrong?, ukiangalia mwishoni anakimbia anmuachia wema mic, nikama hakuwa tayari alamshabiki wanamforce,
Comment by Prince Quizo on July 7, 2011 at 11:40am
ametisha ile mbaya
Comment by John Rhombo on July 7, 2011 at 5:52am
not bad,they performed wel...
Comment by Louis Abray on July 6, 2011 at 11:33pm
next time avae kufuli. Kuna wadudu.
Comment by Msoffe Swalehe Z on July 6, 2011 at 11:34am

Huyo Almasi hakuona alichovaa huyo shost wake?

 

Comment by Baraka Chris on July 6, 2011 at 9:41am
safi sanaaaaaaa,,,,,big up guys!
Comment by Hisma N Hassan on July 6, 2011 at 3:45am
Safiiiiii wema n diamond
Comment by Lenny kyando on July 6, 2011 at 1:27am
Nimeipenda hiyo,safiiiii.....!

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service