TEAM TZ

BREAKING NEWS : SHARO MILLIONEA AMEFARIKI DUNIA

Habari zilizofikia Teentz muda si mrefu zinasema msanii SHARO MILLIONEA AMEFARIKI DUNIA kutokana na ajali ya gari wakati akitoka mkoani Tanga. Tutawapa habari kutokana na jinsi tunavyoendelea kuzipata.

 

VIDEO: SHARO MILLIONEA - NAJUA KUHESABU NAMBA

Views: 6032

Tags: AJALI, AMEFARIKI, BREAKING, DUNIA, GARI, MILLIONEA, NEWS, SHARO, TANGA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by jonathan stalin on December 4, 2012 at 2:28pm

R.I.P sharo milionea we still love u.

 

Comment by Calvin J on November 29, 2012 at 10:26am

Ndo hivyo kazi ya Mungu haina makosa.

R.I.P Jembe..

Comment by Angel Sylivest on November 27, 2012 at 5:27pm

R.I.P Sharo nitakukumbuka milele najua ipo siku tutaonana tu Mungu akutangulie uliko kwenda Love uu Sharo

Comment by suleyman kipingo on November 27, 2012 at 4:22pm
du RIP ze king of sharobaroz
Comment by Said Kilo on November 27, 2012 at 3:01pm

bado nawaza kwa kina?

Comment by Veronica on November 27, 2012 at 11:14am

RIP

Comment by Veronica on November 27, 2012 at 11:14am

Poleni sana familia yake!  Duh ni mapema sana kama wengine wanavyosema, na mie ndio kwanza nilianza kumfahamu baada ya kumwona akiwa na Baba yake Mzee Majuto, Mungu alitoa na mungu ametwaa jina lake lihidimiwe!!!!

Comment by Jimmy Arthur on November 27, 2012 at 10:00am
rip challiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Comment by byella glen on November 27, 2012 at 8:21am

may his soul rest in peace

Comment by Jaffar Wally Ally on November 27, 2012 at 12:47am

R.I.P sharooooo......

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service