TEAM TZ

KWA MUJIBU WA MDOGO WA MAREHEMU STEVE KANUMBA, ALISEMA KUWA ELIZABETH MICHAEL MAARUFU KAMA LULU ALIKUJA NYUMBANI KUKAWA NA KAUGOMVI AMBAPO WAKAINGIA CHUMMBANI WAKIWA HUKO BAADA YA MUDA,LULU ALITOKA NA KUMUITA YEYE KUMUAMBIA KANUMBA KAANGUKA, YE ALIPOENDA AKAMKUTA KAANGUKA NDIO AKAENDA MUITA DAKTARI WA KANUMBA AMBAPO ALIPORUDI HAKUMKUTA LULU, LAKINI HADI TUNAVYOONGEA LULU YUKO POLISI OSTERBAY KWA AJILI YA MAHOJIANO NA POLISI.....

Views: 3566

Tags: CHA, CHANZO, HAPA, HIKI, KANUMBA, KIFO, WA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by nimaya on May 4, 2012 at 1:24pm

Whatever yu say its ok as long as yu were there

Comment by Khatwab Mohamed on April 18, 2012 at 12:39pm

Kila nafsi itaonja umaut...mungu amlipe kwa mema yake yote aliyoyafanya ikiwemo kuielimisha jamii kama msanii. na pia kulitangaza Taifa letu kupitia sanaa yake, vijana wezangu tujifunze kitu fulan kupitia msiba huu wa kijana mwezetu

Comment by Peter Julius on April 13, 2012 at 3:53pm
inauma lakini tufanyanyaje.?
Comment by BEN NDOLOI on April 10, 2012 at 8:08pm

daah...

Comment by Paul Mapunda on April 10, 2012 at 12:48pm

Rest in peace brthr, wote tupo njiani kuelekea huko.

Comment by Gibson Two-Gun on April 9, 2012 at 2:41am
Mauti ni kiatu, safari yako ndo imejiri. Rest In Peace brother japo uliondoka hukuaga. Japo tumejikunyata ndani ya blanketi la huzuni, mazuri yako yatazidi kunawiri ndani ya bustani ya memories! R.I.P Big Brother. U'l 4eva b cherished!!
Comment by Augustino Romanus Kukudi on April 8, 2012 at 12:03pm
Mungu ailaze pema roho ya marehemu kanumba.yeye ndie aliemtoa kwetu na yeye ndie aliemtwaa kwetu.
Comment by collman peter on April 8, 2012 at 2:24am

POLENI FAMILIA NZIMA!

Comment by charlesmuna on April 7, 2012 at 10:43am
em nt a judger in zc case

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service