TEAM TZ

DIAMOND ATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA YATIMA

Diamond akishuka kwenye gari.

ICON katika mziki wa Bongofleva Naseeb Abdul ‘Diamond’ jana alitoa msaada katika kituo cha watoto yatima cha Maunga Centre ambacho mwanamuziki TID anadaiwa kula fedha za yatima wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Kinondoni Hananasif jijini Dar.

Akizungumza na mtandao huu kabla hajakabidhi msaada huo, Diamond alisema kuwa kikubwa zaidi kilichomfanya hadi atoe msaada huo ni kuguswa na maisha wanaoishi  yatima hao.

“Unajua siku zote Mungu anasema unachokipata ugawane na wenzako, sasa mimi pamoja na meneja wangu Joffrey a.k.a Joff tumeona tutoe nusu ya kile tulichokipata  kwa hawa ndugu zetu wanaolelewa katika kituo hiki,” alisema Diamond.


Baadhi ya mizigo ambayo ilitolewa kama msaada katika kituo hicho ikiwa bado haijashushwa kwenye gari.

Diamond akishauriana kitu na meneja kitu wake Joff.

Diamond akiangalia mizigo jinsi inavyoshushwa.

Diamond akimsaidia mama yake kubeba mzigo.

Baadhi ya watoto wakiwa wamezunguruka misaada iliyotolewa na Diamond.

Diamond akiwa amempakata mmoja wa watoto yatima.

Baadhi ya misaada iliyotolewa.

Diamond na meneja wake Joff wakiwa wamewapakata watoto.

Diamond na Joff wakikabidhi misaada.

Diamond , mama yake pamoja na mmoja wa wasimamizi wa kituo hicho wakishuhudia Joff akikabidhi msaada.

Diamond akiwa amelala kwenye kitanda cha watoto yatima hao.

Mtangazaji wa Clouds Tv, Shedee akibadilishana mawazo na mtangazaji mwenzie kituo hapo.

Diamond akiangalia jinsi Joff anavyosaini kitabu cha wageni.

Diamond naye akisaini kitabu cha wageni.

Mmoja wa watoto yatima akisoma dua mara tu ya kukabidhiwa misaada.

PICHA /HABARI: SHAKOOR JONGO WA GPL.

Views: 867

Tags: ATOA, CHA, DIAMOND, KATIKA, KITUO, MSAADA, YATIMA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by Wilson mussa on May 28, 2012 at 4:36pm

HONGELRA MWANA

Comment by amdi bakari on May 16, 2012 at 3:31pm

da mungu akubaliki sana kaka mungu akuzidishie

Comment by Nelson Makabala on May 15, 2012 at 2:21pm

hongera sana Diamond hakika we ni mfano wa kuuigwa

Comment by DANIEL JUMA RICHARD BOBAN on May 11, 2012 at 4:30pm
pamojaaaaaa sana zeyeeeeee cozi kwa wasani wa bongo inshuu kama hii kuto ni kazi sana sooo endelea na moyoo kama huwooooooooooo
Comment by january kiwele on May 10, 2012 at 10:49am

yap boy kutoa si moyo ni mali........big up mnyama

Comment by shukra said on May 8, 2012 at 2:57pm

good idea diamond continue with that soul n u'll b blessed!

Comment by khalidi athumani on May 8, 2012 at 2:43pm
vizuri sana diamond unapowakumbuka na kuwathamini watu kama hawa hata mungu pia anakufungulia neema na mafanikio katika maisha yako big up sana brother.
Comment by Ally nzomkunda on May 8, 2012 at 2:22pm

Safi sana Diamond mafanikio hayaji tu ila mpaka usamini watu kama hawo kwa kile kidogo unacho kipata...Hongera sana.

Comment by CLINTON EDMOND SHUMA on May 8, 2012 at 11:53am

mungu anawapa wale walio tayari kutoa kwa hili Nassib safi sana kwani ni kitendo cha uzalendo na pia ni mfano kwa wasanii wengine kwani sio mpaka maafa ya tokee ila ni vizuri ukiwa na makususdi ya kuwa tabia kama hii.hata mimi  nitakwenda siku moja kwani wale ni ndugu zetu wadogo zetu watoto wetu hivyo tushirikiane kwa kila hali naoBIG UP BROTHA PAMOKO SANA

Comment by leandraprosper on May 8, 2012 at 11:50am

kweli kutoa no moyo na sio utajiri....Na yeye mwenyezi mungu.... atakupatia zaid ya ulichotoa

Ongera kwa kuwakumbuka watoto yatima?

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

TOP PHOTOS

1. IMG-20150312-WA0014

Added by Salvatory Miheza on March 14, 2015

3. Nah real

Added by ChuiChui-Teamtz on March 30, 2015

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service