TEAM TZ

EXCLUSIVE INTERVIEW WITH WEMA SEPETU KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND....

Hiyo ilikuwa ni interview ambayo niliifanya kupitia TAKE ONE ya CLOUDS TV ambayo huwa kila JUMANNE saa TATU kamili Usiku na MARUDIO ni Jumatano saa NNE na dakika tano usiku

Views: 1087

Tags: DIAMOND...., EXCLUSIVE, INTERVIEW, KUHUSU, NA, SEPETU, UHUSIANO, WAKE, WEMA, WITH

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by constantine b. michael on May 2, 2011 at 12:42pm
kaka umelamba garasa
Comment by trael ki on May 2, 2011 at 11:08am
kama vp wakupe dada yao labda ajapitiwa
Comment by trael ki on May 2, 2011 at 11:06am
jomba unachokitu kula mpaka kusaza hao magoi goi wateme endelea na mambo zako kwani wao mademu zao wanatambuliwa wamechakachuliwa na wangapi hiyo sio point kula bata
Comment by Jaffar Shehe - JEFF on April 30, 2011 at 5:21pm
inawezekana akapunguza umapepe@WEMAAAAAAA!!
Comment by abesiga itebuka on April 29, 2011 at 2:20pm
 
Polisi wanasapoti Gangsta Rap ''ili uhalifu uongezeke''
Wabana pua kuimba mapenzi ''je itafanya ukimwi usepe''
Media zinapromoti beef ''wanadai zinakuza mziki''
Wadau wana wasanii wabovu ''nyie wakali mtatoka vipi?''
hizi ni PROPAGANDA.. usiulize ni nani?ni yupi?
...saa ngapi?ilikuaje?na nani?ili iweje?
hizi ni PROPAGANDA.. utaibiwa ukicheza blanda
yule last King of Scotland sio IDD AMIN wa Uganda
Comment by Henry koga on April 28, 2011 at 3:29pm
ni noma joh no coment namwachia  joniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Comment by Hussein Kiyungi on April 27, 2011 at 4:48pm
HUYU DIAMOND NA HUYO SHAROBARO WOTE MAFALA DEM WAMESHACHAKACHUA HADI KAPOTEZA STATUS OF WOMANHOOD WENYEWE NDIO WANAGOMBANIA AU WALIAMBIWA UKISHINE NDIO UCHUKUE DEM FAMOUS TATIZO ULIMBUKENI......JIPANGENI BWANA MNABOA WEMA WEMA,WEMA NDO NANI TUMEWACHOKA KAMA HAMNA CHA KUONGEA MKAE KIMYA AU NDO NYIMBO ZA KUTOA ZIMEAISHA MMEONA MTOKEE KWA WEMA.
Comment by King Dallaz on April 27, 2011 at 3:32pm
we diamond ndo tuseme hujaona madem wengine au ili na wewe ujulikane kama ulishawai  kuwa na mpenzi miss tz huyo ni kicheche anakupotezea muda wako
Comment by KELVIN KIKA on April 27, 2011 at 1:37pm
wote mmekutana hamja2lia labda ndo mtatulia sasa!yetu macho
Comment by Alfa haule on April 27, 2011 at 1:27pm
ayayayaayayay 2namuonea huruma ndugu ye2 mana mmmmmmmmmmmmmmmmh...

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…

Latest Activity

Estin eezy updated their profile
9 hours ago
kelvin msaki updated their profile
15 hours ago
kelvin msaki posted songs
18 hours ago
ChuiChui-Teamtz's blog post was featured
19 hours ago


FREE FLAVA

TOP PHOTOS

1. IMG_0685

Added by charles lyimo on April 21, 2015

2. Lazaro and Erick

Added by lazaro lazaro chilimba on September 9, 2012

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service