TEAM TZ

EXCLUSIVE: UWOYA, DIAMOND WANASWA HOTELINI!

  • WALIKODI NA KULALA CHUMBA NAMBA 208
  • WALIINGIA USIKU WAKATOKA MCHANA KWEUPE
  • AMA KWELI MAPENZI YA MASTAA NI MAJANGA

Na Mwandishi Wetu

Unaweza kukwepa matone ya mvua lakini siyo kamera za Global Publishers Ltd, zinapoamua kukufanyia kazi, ukibisha waulize Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mke wa mtu, Irene Uwoya. Diamond na Uwoya, walifanya jitihada za hali ya juu kuuficha ukweli kuhusu uhusiano wao lakini ilipofika Machi 25, mwaka huu, walinaswa na kamera za Global kwenye hoteli moja yenye hadhi ya nyota tano, iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.

 

The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda, linathubutu kwa kuwa lina ushahidi wa kutosha kutamka kwamba Diamond na Uwoya, walilala kwenye hoteli hiyo, chumba namba 208, waliingia saa 8:24 usiku kisha wakatoka kati ya saa 9:00 na saa 9:13 mchana. Hili ni skandali linaloweza kuweka rekodi ya kukaa kwenye vichwa vya watu kwa muda mrefu ujao, kwani Uwoya siyo tu kwamba ni mke wa mtu, bali pia ni juzijuzi tu alijidai amesahihisha makosa yake kisha akathibitisha kurudiana na mume wake, Hamad Ndikumana ‘Kataut’, baada ya kutengana kwa kitambo kirefu kidogo.

 

Skendo hiyo, inakuja na picha yenye mshtuko mkubwa kuhusu Diamond ‘Sukari ya Warembo’, kwani baada ya kumpitia Uwoya, ni dhahiri kwamba ndani ya Klabu ya Bongo Movie amebakiza wa kuhesabu, tena ni wale ambao mvuto wao ni wa kumulika kwa tochi, vinginevyo, vinara wote ameshadondoka nao dhambini. Kwa kuanzia na Jacqueline Wolper, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Aunt Ezekiel, Uwoya ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unit pamoja na warembo wengine kibao, ni wazi sasa mtandao wa ngono wa Diamond, unagusa karibu asilimia 97 ya mastaa wote wa filamu na muziki nchini...

KUSOMA HABARI HII PAMOJA NA GAZETI HILI BOFYA HAPA

Views: 2215

Tags: DIAMOND, EXCLUSIVE:, HOTELINI!, UWOYA, WANASWA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by George Lucas on April 10, 2013 at 11:26pm

jamaa katisha, invyoonekanaa kwa Diomond kabla hajakuwa STAR huenda ndoto zake ilikuwa ni hivi, " DUH HAWA WADADA SIKU NIKIWA NAZO CWAACHI HATA KIDOGO" . ndivyo ilivyo kudadadeki kafyeka wote ni hatari huyu kijana.

 

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service