TEAM TZ

K sher akielezea kwanini ameamua kumshirikisha Diamond Platnumz kwenye nyimbo yake mpya (VIDEO)


Mwanadada K sher akiweka wazi ni kwanini ameamua kumshirikisha Diamond Platnumz kwenye nyimbo yake mpya inayoitwa nimechoka na kama ana plans zake za kufanya video ya nyimbo hiyo na Adam juma na pia amesema anataka kufanya video kali na yakuendana na alichokiimba kwenye nyimbo hiyo.....

Views: 212

Tags: (VIDEO), Diamond, K, Platnumz, akielezea, ameamua, kumshirikisha, kwanini, kwenye, mpya, More…nyimbo, sher, yake

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by debrah.lopez on March 7, 2012 at 7:53pm

Diamond utamaliza Butcha wakati nyama ni ile ile nikuwa nakueshimu kuwa umetulia kumbe bado alafu una imba eti umupende nani wewe mwenyewe mjanja eti watoto wamujini wajanja na amini sasa kumbe wa janja wa wili hawa kai sehemu moja.,

 MIMI naona bora umupende jini maana utakae mpata pia atakuwa mtoto wa mjini ,Umeshindwa kuwa mwaminifu wema si amekufuma na uyo jokate.

 

 

 

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service